Monday, May 11, 2015

Baadhi ya vifaa ambavyo tunauza

Pia tena bila kusahau tunauza vifaa tofautitofauti kwa wateja wetu wote, katika kampuni yetu ya kidete transporting group, vifaa vyenyewe ni kama uonavyo katika picha zetu hapo chini utavipenda tu, tunakukaribisha pia tun punguzo la bei asilimia 19, (huge price reduction) kama vile maringi, mashine pamoja na zana za kufungulia 




Huduma ndani ya vyombo vyetu

kiukweli ndani ya vyombo vyetu vya usafiri huduma kama, chai, na kutabaruki kwa viburudisho mbalimbali kwetu ni kawaida, kama vile soda, mkaango wa chipsi kavu na mengi mengineyo, kama unavyo katika picha zetu za matangazo, kw mfano ndani ya boti



ndani kwenye ndege


ndani wakati wa safari

Friday, May 8, 2015

kwa usafiri wa anga ndio kabisa usitupimie kwani tunandege nzuri mno na huduma zake unajisikia faraja muda wote katika wakati wote wa safari
tunatumia ndege No: 77709/765/65432 kidete air

usafiri wa anga

Wednesday, May 6, 2015

usafiri wa baharini

Ama kwa usafiri wa baharini (majini) zaidi ya ule wa anga maana meli zetu zote ni za kisasa, yaani na maanisha zile za abiria na pia zile za mizigo, pia hua tunaisoma bahari kabla kufanya sfari zetu mbalimbali kama vile kutoka Tanzania hadi India, India hadi Madagaska kwa zile za abiria, lakini kwa ile ya mizigo takriban huzunguka dunia yote ili kupakia na kupakua yaani kushusha mizigo ya wateja wetu
   sisi tupo kimataifa zaidi

usafiri wa ardhini

magari ya uhakika na yenye kuaminika ambayo tumeyahakikishia usalama wa abiria wetu, pia ni ya kisasa yanayoenda na mazingira ya kisasa, sisi wenyewe  tunayaita mapacha watatu

Huduma zetu

kikawaida  sisi hua tunasafirisha abiria wa aina tatu, yaani wanaosafiri ardhini, majini pamoja na wa anga
kiukweli hasa hatujisifu kama baadhi ya kampuni ambazo hufanya biashara sawa na yetu lakini fika mwenyewe katika ofisi zetu, ili ujionee mwenywewe huduma zetu na kupata maelezo zaidi         
Pia tunauza vifaa vya magari pamoja na pikipiki, vespa