Monday, May 11, 2015
Baadhi ya vifaa ambavyo tunauza
Pia tena bila kusahau tunauza vifaa tofautitofauti kwa wateja wetu wote, katika kampuni yetu ya kidete transporting group, vifaa vyenyewe ni kama uonavyo katika picha zetu hapo chini utavipenda tu, tunakukaribisha pia tun punguzo la bei asilimia 19, (huge price reduction) kama vile maringi, mashine pamoja na zana za kufungulia
Huduma ndani ya vyombo vyetu
Friday, May 8, 2015
Wednesday, May 6, 2015
usafiri wa baharini
Ama kwa usafiri wa baharini (majini) zaidi ya ule wa anga maana meli zetu zote ni za kisasa, yaani na maanisha zile za abiria na pia zile za mizigo, pia hua tunaisoma bahari kabla kufanya sfari zetu mbalimbali kama vile kutoka Tanzania hadi India, India hadi Madagaska kwa zile za abiria, lakini kwa ile ya mizigo takriban huzunguka dunia yote ili kupakia na kupakua yaani kushusha mizigo ya wateja wetu
sisi tupo kimataifa zaidi
usafiri wa ardhini
magari ya uhakika na yenye kuaminika ambayo tumeyahakikishia usalama wa abiria wetu, pia ni ya kisasa yanayoenda na mazingira ya kisasa, sisi wenyewe tunayaita mapacha watatu
Huduma zetu
kikawaida sisi hua tunasafirisha abiria wa aina tatu, yaani wanaosafiri ardhini, majini pamoja na wa anga
kiukweli hasa hatujisifu kama baadhi ya kampuni ambazo hufanya biashara sawa na yetu lakini fika mwenyewe katika ofisi zetu, ili ujionee mwenywewe huduma zetu na kupata maelezo zaidi
Pia tunauza vifaa vya magari pamoja na pikipiki, vespa
kiukweli hasa hatujisifu kama baadhi ya kampuni ambazo hufanya biashara sawa na yetu lakini fika mwenyewe katika ofisi zetu, ili ujionee mwenywewe huduma zetu na kupata maelezo zaidi
Pia tunauza vifaa vya magari pamoja na pikipiki, vespa
Subscribe to:
Comments (Atom)









